send link to app

NJIIMNET


4.4 ( 4784 ratings )
ショッピング
開発者 Ali Suleiman
無料

Madalali wanachukua pesa zako kila unaponunua au kuuza magari kupitia kwao. Wanaficha bei halisi na kukutoza ada kubwa za huduma kwa viwango visivyotabirika.

Fikiria mfumo unaokupa uwezo wa ku-:
- Uza haraka
- Ongeza faida yako
- Furahia uwazi wa 100%
- Pata muda zaidi wa bure

Mfumo unaokuunganisha moja kwa moja na wanunuzi na wauzaji wa magari, mfumo unaohakikisha uwazi na kurahisisha mchakato mzima.